Kodak Back anatamani kurudisha fadhila kwa kwa Trump

Kodak Back anatamani kurudisha fadhila kwa kwa Trump

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KodakBlack anatamani kulipa fadhila kwa #DonaldTrump kwa kumpa Tsh bilioni 2.5 baada ya kumpatia msamaha wakutoka gerezani kabla ya Trump kuachia madaraka nchini humo.

Msamaha huo ulitoka mwaka 2021 baada msanii huyo kuahidi kuwa atatoa msaada wa dola milioni 1 sawa na Tsh bilioni 1 kwa watu wasiojiweza.

Kodak ameeleza hayo katika mahojiano na #DrinkChamps akidai kuwa angempatia Trump kiasi Cha $1M sawa na Tsh bilioni 2.5 kama angehitaji.

‘Rapa’ huyo alikuwa akitumikia kifungo chake cha miezi 46 jela kwa kosa la kugushi nyaraka za serikali na kujipatia silaha mwaka 2020.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags