‘Mastaa’ Yanga wampa Feitoto maua yake

‘Mastaa’ Yanga wampa Feitoto maua yake

Wachezaji kutoka ‘klabu’ ya #Yanga wamempa maua yake fundi wa mpira #Feitoto kutokana na kiwango alichokionesha jana katika mchezo wa ‘ligi’ kuu licha ya ‘timu’ yake ya #Azam kupoteza mbele ya #Yanga.

Kupitia post ya Feitoto kwenye Instagram yake, mastaa mbali mbali wa ‘klabu’ ya Yanga akiwemo #AzizKi , #KhalidAucho , #IbrahimBacca na aliyekuwa mchezaji wa ‘timu’ hiyo #FistonMayele n.k wame-komenti ujumbe wa kumsifia na kumpongeza kutokana na kiwango chake kuwa juu zaidi.

Mchezo huo uliopigwa #BenjaminiMkapa ulitamatika kwa bao 2-3 huku yanga wakiondoka na point 3.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags