Muigizaji Richard afariki kwa saratani

Muigizaji Richard afariki kwa saratani

Muigizaji kutoka nchini Marekani, #RichardRoundtree mwenye umri wa miaka 81 amefariki dunia, baada ya kuugua saratani ya kongosho iliyogundulika miezi miwili iliyopita.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vinaeleza kuwa meneja wa msanii huyo Patrick McMinn amethibitisha kifo hicho kilicho tokea nyumbani kwake Los Angeles akieleza kuwa Richard aligundulika na saratani hiyo miezi miwili iliyopita.

 Muigizaji huyo aliwahi kucheza filamu ya Shaft, OG, Shaft's Big Score na Trilojia, pia aliwahi kuchukua tuzo za filamu mbalimbali ikiwemo tuzo ya Tuzo za Golden Globe.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags