Mtoto wa Bill Gate atemana na mpenzi wake

Mtoto wa Bill Gate atemana na mpenzi wake

Phoebe Gates ambaye ni binti wa tajiri maarufu duniani Bill Gates, ameachana na mpenzi wake anayefahamika kama Robert Ross.

Mrembo huyo amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kufuta picha zote za Robert na ku-post picha akiwa na mwanaume mwingine jijini Paris.

Robert ambaye ni mjasiriamali wa teknolojia alianzisha mahusiano na Phoebe wakatika wakiwa chuo kikuu cha Stanford.

Ikumbukwe pia baba wa binti huyo Bill Gate naye aliachana na mkewe Melinda Gates mwaka 2021 baada ya kudumu kwa miaka 27 kwenye ndoa yao.
.
.
.
#MwananchiScop
#BudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags