Kim Kardashian ampa shavu Neymar

Kim Kardashian ampa shavu Neymar

Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kim Kardashian ampa shavu mchezaji kutoka ‘timu’ ya Al Hilal ya Saudi Arabia Neymar ya kutangaza bidhaa za nguo.

Neymar alionekana akiwa amevalia bidhaa za nguo za kiume ambapo aliungana na wachezaji wenzie Nick Bosa, Gilgeous Alexander, katika promo ya bidhaa hizo za SKIMS zinazo tarajiwa kuingia sokoni siku ya kesho Alhamis Oktoba, 26.

Aidha bidhaa hizo zenye ‘matirio’ ya pamba zinakadiriwa kuuzwa kuanzia $16 hadi $54 ambapo ni sawa na zaidi ya elf 30 hadi 130,000 za Kitanzania.

Hata hivyo  tofauti na Neymar wiki chache zilizopita Kim alimpa shavu ‘rapa’ kutoka nchini humo Cardi B kutangaza bidhaa za kike za SKIMS.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags