12
Son aomba radhi kukataa kushika Iphone, Akilinda mkataba wake
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Tottenham Hotspurs, Heung Min-Son ameomba radhi kwa shabiki aliyemuomba kupiga naye picha na kisha kukataa kuishika simu ya shabiki huyo ain...
12
Cardi B: Shabiki alidhani nitaenda jela
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Cardi ameendela kufunguka kuhusiana na tukio la kumpiga shabiki na mic wakati akitumbuiza katika club ya Drai’s Beach. Kupitia ...
12
Wimbo wa Drake na The Weeknd uliyotengenezwa kwa akili badia wang’ara Grammys
Hatimaye wimbo ‘Heart On My Sleeve’ uliyotengenezwa kwa akili bandia (AI) ukiwa umemshirikisha mwanamuziki Drake na Th...
12
Pogba afichua alivyotaka kustaafu mpira
Gwiji wa mpira duniani ambaye ni kiungo wa ‘klabu’ ya Juventus, Paul Pogba amekiri kuwa alifikiria kustaafu ‘soka’ kufuatia madai ya unyang’anyi ...
12
Wine yatiririka mtaani baada ya Matenk kupasuka
Wakazi wa mji wa Soa Lorenco De Bairro wapatwa na sintofahamu baada ya kiwanda cha kutengeneza pombe cha Levira kutiririsha wine barabarani huku wakieleza kuwa tukio hilo lime...
12
Akon: Kama unamawazo ya kumiliki ndege binafsi yafute haraka
Mwanamuziki mkongwe na Mfanyabiashara kutoka nchini Marekani  #Akon amefunguka kuhusu uzoefu wake wa kumiliki ndege binafsi, kwa maoni yake anadai kuwata wenye mawazo na ...
12
Al Ahly sio kinyonge, Watua na mchezaji mpya
‘Klabu’ ya #Al Ahly, ambao ni mabingwa nchini Misri, inaelezwa kuwa wamefanikisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Borussia Dortmund, Anthony Modeste, aliyejiu...
12
Alikiba amshusha Diamond Youtube
Baada ya Diamond kutoa tamko kuwa hatoshuka namba one on treanding katika mtandao wa YouTube hadi Januari hatimaye King Kiba ametengua kauli hiyo baada ya wimbo wake wa &ldquo...
12
Mwijaku kufungua radio Kazuramimba
Wakati baadhi ya wamiliki wa media nchini  wakiendelea kuboresha vituo vyao vya habari ili kupata wafuatiliaji zaidi, hatimaye mtangazaji na mwanamitandao Mwijaku amedai ...
12
Anwar Ghazi kuziba pengo la Antony na Sancho Man United
Kufuatia sekeseke lililoikumba hivi karibuni ‘klabu’ kutoka nchini Uingereza Manchester United kuhusiana na baadhi ya wachezaji kuwekwa nje kwa muda usiojulika, ha...
12
Elon Musk apata mtoto wa 11
Mmilikiwa mtandao wa X na bilionea kutoka nchini Marekani amethibitisha kupata mtoto wa kiume wa tatu na mpenzi wake Grimes. Elon ameweka wazi taarifa hiyo kupitia mtandao wak...
11
Gamond ‘kocha’ bora wa mwezi
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Yanga, #MiguelGamondi amechaguliwa kuwa ‘Kocha’ bora wa mwezi Agosti wa ‘Ligi’ kuu ya NBC Tanzania bara ...
11
Haikuwa rahisi Diamond kukaa ndani ya jeneza
Kitu ambacho mashabiki walikuwa hawajui ni kwamba haikuwa rahisi kwa mwanamuziki @diamondplatnumz kukaa ndani ya jeneza ili kuridhisha mashabiki wake wa Ruangwa siku ya juma p...
11
Hatimaye Ibraah anatarajia kurudi mjini
Baada ya first born wa Konde Gang, Ibraah kukaa kimya wa muda mrefu bila kuachia ngoma sasa rasmi anatarajia kurudi mjini tarehe 15, akiwa na wimbo mpya utaoenda kwa jina la &...

Latest Post