Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwekezaji wa ‘klabu’ ya Simba SC, Mo Dewji ameonekana kuhoji kuwa mpira uliyofunga bao la kwanza Simba ulikuwa umetok...
Inadaiwa kuwa Rapa kutoka Marekani, Young Jeezy na mkwe Jeannie Mai ambaye ni mtangazaji wapeana talaka, huku ndoa yao ikiwa imedumu kwa miaka miwili tu.
Aidha Jeezy na ...
Wafanyikazi wawili wa Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi (TSA) wamefumwa wakiiba pesa na vitu vingine kutoka kwenye mifuko ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami F...
Msanii #BabaLevo amefunguka akidai kuwa kupitia #Diamond unaweza ukafanya mambo makubwa, yeye humuita powerful kutokana na uwezo wake katika soko la muziki nchini.
Ameyazungum...
Mwanamuziki #RamaDee amefunguka ukaribu wake na mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee kutokana na baadhi ya watu kudai kuwa huwenda wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapen...
Nyota wa muziki nchini #DiamondPlatnumz aendelea kuonyesha ubunifu akiwa anapanda jukwaani, ili kuteka hisia za mashabiki siku ya jana awashangaza mashabiki wa Songea alipoing...
Star wa mchezo wa mieleka Dwayne Johnson ‘The Rock’ amethibitisha kurudi kwake WWE kwa kishindo huku mashabiki wakionekana kushangazwa na star huo ambaye alipumzik...
Muigizaji kutoka nchini Australia, Hugh Jackman ameeleza kuwa hayuko tayari kuzungumzia sababu ya kutengana na mke wake. Hugh anaonekana kuchukizwa na maswali anayoulizwa na b...
Star wa ‘klabu’ ya #InterMiami #LionelMessi amejikuta akirushiwa maneno na mashabiki mtandaoni baada ya ku-post picha ya Pizza aliyokuwa anataka kuila.
‘Staa...
Baada ya kufanya mahojiano yake na moja ya chombo cha habari mwanamuzikI Baba Levo alifunguka na kieleza kuwa lazima amshushe Alikiba namba one trending katika mtandao wa yout...
AHMED ALLY: OCTOBA SIKU YA HUKUMUSemaji la Simba Ahmed Ally naye hajakaa kinyonge baada ya kutoka sare katika mchezo wao na Power Dynamos uliochezwa nchini Zambia, ameunguruma...
Msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Ally Kamwe baada ya ‘timu’ yake kushinda bao 2-0 dhidi ya Al Merrikh, kama kawaida yake amewatania watani wake Simba kwa ku...
Rais wa ‘klabu’ ya Yanga Eng. Hers Said amekutana na Waziri wa Michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame.Ambapo En...
Katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa Levy Mwanawanda nchini Zambia, kati ya ‘Klabu’ ya Simba na Power Dynamos ‘timu’ zote zimetoka 2-2 kwenye ...