Mwanamuziki mkongwe nchini #Lady Jaydee amedai kuwa huwa hapashi viporo, akiachana na mtu basi ni ngumu kurudiana naye kwani huwaa anaona kinyaa kurudiana.
Ameyasema hayo kwen...
Hatimaye ‘Rapa’ Tory Lanez week hii amefikishwa gerezani kwa ajili ya kutumikia kifungo cha miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Megan Three S...
Ni muda mchache tuu tangu msanii Zuchu kuachia ngoma yake mpya ya ‘Chapati’, msanii mwenzake Baba Levo hakulikalia kimya ametoa ya moyoni huku akimlaumu Zuchu kwa ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva Shilole anadai kuwa anaweza kuchana huku akikumbushia wimbo wake ambao alimshirikisha msanii mkongwe Chidi Beenz uliyotoka miaka minne iliyopita &ls...
Tetesi zinadai kuwa nyota wa muziki Kim Kardashian yuko wenye pezi jipya na mchezaji wa mpira wa NFL, Odell Beckham Jr,baada ya kuonekana pamoja wakiwa wanabarizi.
Inadaiwa ku...
Msanii wa #BongoFleva nchini #BabaLevo amedai kuwa Waziri wa Habari Sanaa na Michezo mh.Nape Nnauye amempa hongera kwa wimbo wake mpya aliyofanya na DiamomdPlatnumz ‘Ame...
Uongozi wa ‘klabu’ ya Namungo FC umetoa taarifa ya gari walilokuwa wanatumia mashabiki wa ‘timu’ hiyo kutoka Ruangwa kuja Dar es Salaam kuishangilia &l...
Mashabiki na watu mbalimbali wamefanya maandamano nchini Nigeria kufuatiwa na kifo cha aliyekuwa mwanamuziki Mohbad, anayedaiwa kufariki kwa msongo wa mawazo na infection hivy...