Kanye West aweka kambi Saudi Arabia

Kanye West aweka kambi Saudi Arabia

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #KanyeWest ameweka makazi ya muda mfupi nchi Saudi Arabia akiandaa kazi zake za muziki.

Kanye  ameandaa kambi hiyo maeneo ya jangwani nchini humo ambapo ndani yake kuna studio kwa ajili ya ‘kurekodia’

Msanii huyo imekuwa  desturi kutafuta maeneo ya kipekee kwa ajili ya kuandaa kazi zake, mwaka 2018 aliweka kambi nchini #Uganda ambapo alipata nafasi ya kuonana na Rais wa nchi hiyo, #YoweriMuseveni na kumpatia jozi ya viatu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags