Rapper Kanye West, ameendelea kuwekwa kikaangoni nchini Italy kutokana na matukio yake, awamu hii mkali huyo anashutumiwa kwa kuvunja sheria za Italy za kupambana na ugaidi.
S...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Manchester United Jadon Sancho awashangaza mashabiki wake baada ya ukurasa wake wa Instagram kutoonekana tena huku wengine wakidai kuwa huen...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na msanii kutoka chini Nigeria kudaiwa kuwa na ujauzito wa Future, hatimaye ameendelea kuwaziba midomo na kukanusha uvumi huo baada ya k...
Muigizaji Kerry Washington mwenye umri wa miaka 46 afunguka kufahamu ukubwani kuwa baba anayeishi naye siyo baba yake mzazi.
Kerry amedai kuwa aligundua hilo mwaka 2018 baada ...
Zoleka Mandela, ambaye ni mjukuu wa Rais wa kwanza mzalendo nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43, familia yake i...
Baada ya siku kadhaa ‘kamera’ kumnasa msanii kutoka nchini Nigeria Davido kukataa maji kwenye maandamano ya kudai haki ya aliyekuwa msanii marehemu MohBad, kwa mar...
Muigizaji Monalisa amezindua tuzo za wanawake ambazo amezipa jina la ‘Women in Sport Arts and Culture Award, ambazo zitahusisha wanawake wanaojiuhusisha katika Mic...
Kundi la kondoo nchini Ugiriki kwenye mji wa Almyros limevamia nyumba ya kuhifadhia mimea na kula bangi zilizokuwa zimehifadhiwa kwa ajili ya matibabu.
Inadaiwa kuwa kon...
Hat-trick ya kwanza iliyodaiwa kufungwa na Star wa ‘klabu’ ya #BayernMunich #HarryKane yakataliwa kutokana na sheria za ‘soka’ nchini Ujerumani zinazot...
Baada ya mchezaji maarufu kutoka’ klabu’ ya Manchester United, Jadon Sancho kuzuiliwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza siku chache zilizopita, ‘timu&rsqu...
Baada ya ku-trend kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na ‘rapa’ Tory Lanez ambaye kwa sasa yuko gerezani kuwa anahofia maisha yake, hatimaye ‘rapa’ hu...
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kutaja movie kama sehemu yao ya starehe, tena wengine huenda mbali zaidi hutoka na kwenda sehemu maalum za kuoneshea movie kwa ajili ya kubu...