Sigara siyo mchongo tena kwa Snop Dogg

Sigara siyo mchongo tena kwa Snop Dogg

‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini #Marekani #SnopDogg ametangaza rasmi kuacha kuvuta sigara.

Kupitia ukurasa wa #Instagram wa mkali huyo ameweka wazi suala hilo kwa kueleza kuwa baada ya kufanya mazungumzo na familia yake sasa ameamua kuacha kuvuta sigara rasmi huku akiwataka mashabiki kuheshimu maamuzi yake kwa sasa.

#SnopDogg anatamba na ngoma zake zikiwemo ‘Doggyland’ , ‘Drop It Like It's Hot’ , ‘Lay Low’ na nyinginezo.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post