Mume wa Wolper awaziba midomo wanaodai ndoa yao imevinjika

Mume wa Wolper awaziba midomo wanaodai ndoa yao imevinjika

Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuwa muigizaji Jackline Wolper na mumewe Rich Mitindo kuwa wameachana, hatimaye #Rich amejibu na kueleza kuwa yeye na mkewe hadi kifo kiwatenganishe.

Kupitia ukurasa wa #Instagram wa #RichMitindo ambapo leo ni anniversary yao ame-post video iliyoambatana na ujumbe usomekao,

“Happy Anniversary my beautiful Gorgeous Pretty Wife. I don't even want to imagine my life without you, My greatest gift from God, you blessed me watoto wazuri sana wewe ni sehemu yangu salama katika ulimwengu huu.

“Nakupenda sana Mke wangu, ila pamoja ya kukupenda kila siku kumbuka changamoto haziiishi mke wangu ilo fahamu maana wapo wanaosubiri kuona ndoa inavunjika si unajua maumivu yetu yanaweza kuwa sababu yao kufurahi kama ambavyo furaha yetu inafanya waumie , kwa uwezo wa Mungu tutazidi kusherekea Anniversary nyingi hadi hapo mwenye maalamka atakapo mtaka mmoja wetu I lOVE YOU”


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post