28
Osimhen aonesha jeuri uwanjani, Awajibu Napoli
Baada ya mchezaji Victor Osimhen hivi karibuni kudai amedhihakiwa kupitia ‘akaunti’ ya TikTok ya ‘timu’ ya #Napoli,  sasa ‘straika’ hu...
28
Samatta afungua ‘Akaunti’ ya mabao
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paok Fc na nahodha wa ‘timu’ ya taifa Tanzania Mbwana Samatta amefungua ‘akaunti’ yake ya mabao akiwa na ‘timu...
28
Tanasha Donna na Mama Dangote mambo ni moto
Tanasha Donna, ambaye ni mzazi mwenzie Diamond, amedhihirisha kuwa hana ubaya na mama mzazi wa msanii huyo baada ya kutuma zawadi za birthday kwa mama Dangote. Katika zawadi h...
27
Kofia ya MJ kupigwa mnada kwa zaidi ya 34 milioni
Kofia ya aliyekuwa mwanamuziki wa Pop nchini Marekani Michael Jackson aliyoivaa kwa mara ya kwanza wakati akitumbuiza ‘dansi’ yake ya Moonwalk imepigwa mnada na sa...
27
Mwakinyo hajaridhishwa kubadilishiwa mpinzani
Bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo ambaye anatarajia kuingia ulingoni September 29, katika pambano la kuwania mkanda wa IBA Intercontinental dhidi ya Rayton Okwiri sasa ame...
27
Fahamu undani wa kitabu chenye kurasa 128 zisizoandikwa kitu
Inafahamika kuwa watu hutafuta vitabu kwa ajili ya kusoma na kuongeza maarifa kulingana na aina ya maudhui yaliyomo ndani ya kitabu husika. Waandishi wengi wamekuwa wakiandika...
27
Tanzania, kenya na uganda kuandaa AFCON 2027
Rasmi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027. Kamati ya Utendaji CAF imetangaza uamuzi huo leo nchini ...
27
Mason Mount hakupata jeraha, Ni mbinu za ‘kocha’
Mchezaji kiungo wa ‘klabu’ ya Manchester United, Mason Mount siku ya jana alirejea uwanjani katika mchezo wa Man U dhidi ya Crystal Palace baada ya kukaa nje kwa t...
27
Mchezaji Victor kuichukulia hatua ‘klabu’ ya Napoli kwa kumdhihaki
Mchezaji wa ‘timu’ ya taifa nchini Nigeria, Victor Osimhen, inadaiwa anampango wa kuchukua hatua za kisheria kutokana ...
27
Shamsa Ford alia na TANESCO, Awaza marejesho
Ikiwa tatizo la umeme linaendelea kuwatesa baadhi ya wananchi katika maeneo mbalimbali, huku baadhi ya ‘mastaa’ wakilalamika kuhusiana na mgao huo. Muigizaji wa fi...
27
Stamina: Amapiano inatosha kwa Chino, Abadilishe vibe
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Stamina ameweka wazi ujio wa ngoma mpya ambayo ameshirikishwa na mkali wa Amapiano Chino huku akileza kuwa kwa sasa Chino inabidi abadilishe vibe...
27
Billnass: Ukipenda unaweza kufanya vitu ambavyo huvipendi
Mwanamuziki #Billnass amewajibu wanaomsema vibaya kutokana na clip inayosambaa mtandaoni akicheza ‘Flow’ ambao ni wimbo wa mkewe #Nandy. Wakati akifanya mahojiano ...
27
Harusi yaingia doa, Moto waua watu 100 ukumbini
Inadaiwa takribani watu 100 wamefariki na wengine zaidi ya 150 kujeruhiwa baada ya moto mkubwa kutokea ukumbini wakati wa sherehe ya harusi katika Wilaya ya Al-Hamdaniya nchin...
27
‘Mastaa’ wafurahishwa na alichofanya Tessy kwa Aslay
Tessy ambaye ni mama mtoto wa msanii Aslay, amepongezwa na ma-star mbalimbali baada kuonesha  ‘kumsapoti’ Aslay kufuatia na show yake inayotarajia kufanyika S...

Latest Post