
Awali zilikuwa zinawania ‘timu’ 10 ambazo ni Al Ahly ya Misri, Wydad na Raja Casablanca kutoka Morocco, Mamelodi Sundowns na Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini, Esperance de Tunisia, USM Alger na CR Belouizdad kutoka Algeria, Asec Mimosa ya Ivory Coast na Tanzania ikiwakilishwa na Yanga SC. Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Disemba 11 nchini Morocco.
Leave a Reply