Mwanamuziki Diamond Platnumz amechaguliwa na Shirikisho la Mpira Afrika CAF kuwa msanii kinara atakaye tumbuiza kwenye shereshehe za ugawaji wa tuzo za CAF 2024 zitakazofanyik...
Tanzania imeendelea kuwa kivutio cha watalii kuja kupumzika na kutembelea vituo vilivyopo, hii ni baada ya kiungo wa Manchester United na timu ya taifa Morocco, Sofyan Amrabat...
‘Rapa’ kutoka nchini Morocco French Montana amedai kuwa mwanamuziki na bilionea Taylor Swift alikataa kufanya show katika sherehe binafsi za Falme za Kiarabu ambap...
Rais wa Yanga SC na Mwenyekiti wa Chama cha ‘klabu’ Afrika (ACA), Mhandishi Hersi Said jana Disemba 10 alishiriki kwenye mchezo wa hisani kati ya 'malejendi' wa &l...
Baada ya Timu ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wageni wao Morocco ‘mechi’ ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 iliyopigwa jana Uw...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita #YangaSC imetinga tano bora kuwania Tuzo ya ‘Klabu’ Bora kwa Wa...
Beki wa ‘Klabu’ ya Wydad Casablanca kutoka nchini #Morocco #OussamaFalouh (24) amefariki dunia hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.#Oussama alifikwa na umauti...
Mabingwa watetezi wa ‘Ligi’ Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC, wanawania Tuzo ya ‘klabu’ bora kwa wana...
Nouhaila Benzina beki kutokea nchini Morocco mwenye umri wa miaka 25 ameweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuvaa hijabu kwenye michuano ya Kombe la Dunia la Wanaw...
Mamia ya watu waliandamana nchini Morocco siku ya Jumapili katika mji mkuu wa kiuchumi Casablanca kupinga kupanda kwa gharama za maisha katika taifa hilo na kutaka hatua zichu...
Baada ya sakata lililoshika vichwa vya habari duniani na kutrendi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mchezaji wa timu ya taifa ya Morocco na klabu ya PSG Achraf Hakimi k...
Mwanamuziki maarufu nchini Morocco Saad Lamjarred, anatuhumiwa na kesi ya ubakaji na unyanyasaji, ambayo imeanza kusikilizwa katika mji mkuu wa Ufaransa.
Saad anayeimba muziki...