‘Kocha’ wa 'klabu' ya Al Merreikh, OsamaNabih amesema ‘klabu’ ya Yanga SC inacheza kama 'vilabu' vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa &lsqu...
Mwanamuziki #GigyMoney anadai kuwa yeye mama yake anatamani aolewe na mwanaume yeyote haijalishi anafanya kazi gani.
Ameyasema hayo mbele ya vyombo vya habari Gigy anasema mam...
Akizungimza na vyombo vya habari nchini, aliyekuwa Ex wa #HajjiManara, #Rushaynah ameeleza kuwa kumuongelea Ex wako Kwa vibaya kwa watu wengine sio sawa.
Aidha mwadada huyo am...
Mwanamuziki anayedaiwa kusifika kuwa na ubunifu mkubwa akiwa jukwaani #Rayvanny kwa masikitiko makubwa aliyokuwa nayo kupoteza show aliyokuwa anataka kuonyesha Mbeya kwa kupat...
Kama kawaida ubunifu unaendelea huku kila mwanamuziki akiumiza kichwa kuonesha uwezo mkubwa akiwa ‘stejini’ akiwa anatumbuiza.
#Zuchu moja kati ya msanii al...
Winga wa ‘klabu’ ya #Yanga, Skudu Makudubela , ameeleza kuwa umoja walionao kama wachezaji wakiwa uwanjani na nje ya uwanja ni kwa sababu ya ‘sapoti’ w...
Kufuatia na kitendo kilichoteka usiku wa kuamkia jana katika birthday ya Wema, baada ya mama yake, kueleza kuwa anakasirishwa na kitendo cha Whozu kutokufuata taratibu za ndoa...
Mwanamuziki Vannesa mdee, ameonesha kukasirishwa na baadhi ya watu wanaosema vibaya ngozi ya mtoto wake Seven kuwa nyeusi sana.Msanii huyo amevunja ukimya na kuwajia juu wote ...
Baada ya msanii Ne-Yo kuomba haki ya kuishi na watoto wake na mahakama imtambue kuwa yeye ndiyo baba halali wa watoto hao hatimaye, mahakama imemkabidhi na kumtangaza kuwa bab...
Duane ‘Keefe D’ Davis ambaye alikuwa shahidi katika mauaji ya rapper Tupac Shakur, amekamatwa na ‘polisi’ akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya msanii...
Muigizaji Wema Sepetu ameyatoa ya moyoni baada ya kile kilichotokea kwenye birthday party yake, na kueleza kuwa hatokuja kufanya tena sherehe maisha yake yote.Wema ameyasema h...
Muigizaji na mwandishi wa habari Mwijaku ametoa ushauri kwa mwanamuziki Whozu kuwa atafute pesa ili aweze kuheshimiwa ukweni,Hii inakuja baada ya kilichotokea usiku wa kuamkia...
Bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo ameendelea na msimamo wake wa kutopanda ulingoni kutokana na sakata lake la kutofautiana katika makubaliano na ma-promota.Kupitia ukurasa...