Harmonize alitaka kuzichapa jana kwa Mkapa

Harmonize alitaka kuzichapa jana kwa Mkapa

Inadaiwa kuwa mwanamuziki wa bongo fleva Harmonize ataka kuzichapa na walinzi wa uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa baada ya walinzi hao kukataa msanii huyo asiingie na walinzi (Bodyguard) wake ndani ya uwanja.

Harmonize alifika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuangalia ‘mechi’ ya kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 siku ya jana ambapo Taifa Stars ilipoteza mchezo huo dhidi ya Morroco kwa kupokea kichapo cha mabao 2-0.

kutizama video hiyo pitia page yetu ya Instagram @Mwananchiscoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags