Mtuhumiwa wa mauaji ya ‘rapa’ Tupac, Duane "Keffe D" Davis, amefikishwa mahakamani siku ya jana Jumatano, baada ya kukamatwa na ‘polisi’ kwa tuhuma za ...
Kufuatia taarifa zinazosambaa zikidai ‘klabu’ ya Tanzania Prison imeahidi dau la pesa kwa ‘timu’ hiyo endapo wataifunga Simba leo katika mchezo utakao ...
Mbwa wa familia ya Rais nchini Marekani, Joe Biden, Commander ametimuliwa Ikulu kwa kutoka na mfululizo wa matukio ya kuwang'ata wafanyakazi wa eneo hilo wakiwemo walinzi wa R...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea, Reece James, amefungiwa kutokucheza ‘mechi’ moja pamoja na faini ya 270 milioni, kwa kosa la kutumia lugha chafu dhidi...
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani Lady Gaga hatoruhusiwa tena kumlipa mwanamke ambaye alirudisha mbwa wake baada ya kuibiwa mwaka 2021 ambapo pesa hiyo aliahidi kama zawadi....
Rapper mkongwe kutoka nchini Marekani #RickRoss mapema wiki hii alipokuwa akifanya mahojiano na #AppleMusic amedai kuwa miezi sita iliyopita ametumia takribani 251...
Kufuatia uchunguzi unaoendelea wa kifo cha MohBad, taarifa mpya zinaeleza kuwa ‘rapa’ Naira Marley na ‘promota’ wake Sam Larry wameamriwa kukaa rumande...
Mbunifu wa mitindo na mwimbaji kutokea nchini Uingereza Victoria Beckham amefunguka na kudai mume wake Davidi hakuwa mwaminifu wakati alipokuwa akiichezea Real Madrid mwaka 20...
Msanii Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards katika kipengele cha msanii bora Africa.
Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Mtv wametoa taarifa hiyo kwa...
Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), am...