Mchezaji wa ‘Klabu’ ya Simba Clatous Chota Chama ametoa ushauri kufuatia yanayo endelea katika ‘timu’ yake kwa kueleza kuwa kwa sasa haina haja ya wao ...
Ikiwa zimepita siku chache tangu ‘rekodi’ ya mpishi maarufu kutoka Nigeria Hilda kuvunjwa amedai kuwa kwenye roho yake na historia atabaki kuwa mmiliki wa rekodi h...
Winga wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #JadonSancho kwa upande wake mambo yanazidi kuwa makubwa kila kukicha huku muafaka baina yake na ‘kocha’ wa &lsq...
Baada ya kuipeperusha Bendera ya Tanzania katika Tuzo ya #MTVEMA 2023 msanii Diamond ameendelea kuitabiria makubwa Tanzania kwa kudai kuwa soon bendera hiyo itakuwa katika Tuz...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini #Nigeria, #ReginaDaniels amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yuko tayari kumtolea figo mumewe Mh.NedNwoko ili apone na aendelee kuishi ...
Wanamuziki kutoka nchini #Marekani, #RickRoss na #MeekMill wameachia Tracklist ya Albamu yao ya pamoja 'Too Good to Be True' ambayo itatoka rasmi Ijumaa, Novemba 10 mwaka huu....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa...
Licha ya kufungiwa mwaka mmoja na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania Bara (TPBRC), bondia Hassan Mwakinyo ameibukia visiwani Zanzibar na anatarajiwa kuingia ulingoni Novem...
Inadaiwa kuwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #DJKhaled amepanga kumshirikisha msanii kutoka #Nigeria, #BurnaBoy kwenye Album yake ijayo ya 'Til Next Time' iliyopangwa kuac...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #ChrisBrown amedai kuwa amewaandalia mashabiki zake Surprise za kutosha katika Album yake mpya ya 11:11 inayo tarajiwa kutoka Novemba11 mw...
Mwanamuziki wa nyimbo za #Gosperl nchini, #JoelLwaga amedai kuwa nyimbo zake zinaponya watu na kuondoa stress.
Kufuatia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari msanii huyo...
Remix ya wimbo wa msanii kutoka Nigeria, #Rema aliyo mshirikisha #SelenaGomez, ya ‘Calm Down’ imefikisha jumla ya watazamaji milioni 701 mjini #YouTube.
Wimbo huo ...
Wanaume wanne wameshtakiwa kwa wizi wa choo cha dhahabu chenye thamani ya £4.8 milioni katika jumba la #Blenheim, #Oxfordshire nchini #Uingereza.
Wizi huo ulifanyika Sep...
Meya kutokea jimbo la Alabama nchini Marekani anayefahamika kwa jina la #Copeland, amefariki kwa kujiua ‘wiki’ iliyopita baada ya kusambaa picha zake z...