Rapa kutoka nchini Marekani #42Dugg amemaliza kifungo cha mwaka mmoja na nusu gerezani baada ya kushitakiwa kumiliki bunduki kinyume na sheria na kutojisalimisha kwa polisi.
V...
Mwanamuziki na mwanamitindo Kanye West amedai kuwa anadalili za ugonjwa wa akili ambazo zilisababishwa na ajali aliyoipata Oktoba, 2002.
Kanye alimtumia rafiki yake wa karibu ...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Rwanda aliyefahamika kwa jina la Callitxe Nzamwita mwenye umri wa miaka 71 amejitenga kwa miaka 55 akidai kuwa sababu ni kuogopa wanawake.
Inaelez...
Muigizaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Julia Fox amefunguka kuhusu mahusiano yake ya mwezi mmoja na Kanye West akidai kuwa yalikuwa kama analea watoto wawili kwa wak...
Rais wa ‘klabu’ ya #Barcelona, Joan Laporta ashitakiwa kwa tuhuma za rushwa za kununua waamuzi wa ‘mechi’ kufuatia malipo yaliyofanywa kwenda kwa makam...
Ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu wimbo wa msanii Diamond, wa Pound & dollars kuachiwa kupitia YouTube channel yake hatimaye, wimbo huo aliomshirikisha mpiga zumari maaru...
Brian Njagi anayetuhumiwa kufanya majukumu ya uwakili bila kuwa na vigezo vya elimu nchini Kenya amekana mashtaka hayo mahakamani leo Oktoba 18, 2023 huku akitangaza nia ya ku...
Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amewatolea uvivu wanaodai kuwa anamawazo ya mapenzi, amesema katika ma-ex wake hakuna wa kumfanya alewe.
Konde amefunguka hayo kupitia Instasto...
Mtibwa Sugar imempa mkono wa kwaheri Kocha Habib Kondo baada ya kusitisha mkataba wake kwa makubadiliano ya pande zote mbiliTaarifa inasema "Tunamshukuru Kocha Habib Kondo ka ...
Kwenye biashara wiki hii kama kawaida yetu nimekusogozea kitafunwa ambacho wengi wetu hukipendelea kunywa na soda ama juice, ukinywa na chai pia siyo mbaya ila havinogi udugu ...
Na Magreth BavumaMambo niaje wanangu ni wiki nyingine tena niwakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya wanavyuo “unicorner” chimbo moja tu ambalo wanavyuo tunakutanis...
‘Klabu’ ya #Mainz ya nchini Ujerumani, imemsimamisha mchezaji wao, Anwar El Ghazi, baada ya ‘kuposti’ katika #Instastory yake akionesha kuunga mkono Pa...
Ikiwa imebaki siku moja kwa ‘klabu’ ya Simba kuingia dimbani kukipiga na Al Ahly katika michuano ya AFL, Rais Samia ameendeleza pale alipoishia ambapo ameweka wazi...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV na muandishi wa habari Abdifatah Moalim Nur "Qeys", amefariki kwa shambulio la bomu alipokuwa kwenye mgahawa wa Blue Sky jijini Mogadishu uli...