Davido atoa siri ya kuachi ngoma kali

Davido atoa siri ya kuachi ngoma kali

Mwimbaji anayeupiga mwingi katika Afrobeat Davido, ametoa siri na kufunguka njia anayoitumia kutengeneza muziki mzuri unaokuwa-hit duniani.

Davido kupitia ukurasa wake wa X (Twitter), ame-share ujumbe ukieleza kuwa ikifika siku ya kuingia studio kurekodi huwa anavaa uhusika wa mtu asiye na makazi wala mafanikio yoyote.

Mkali huyu kutoka Nigeria anaendelea kutamba na ngoma zake kama vile 'Un available' huku wiki kadhaa zilizopita alichaguliwa kuwani tuzo maarufu duniani 'Grammy' katika vipengele vitatu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags