Tazama mwanamuziki wa Singeli, Baba Kash akiwarusha mashabiki katika viwanja vya Ngome Kongwe, Stone Town kisiwani Unguja.Je kwa vibe hili la mashabiki kutoka mataifa mbalimba...
Peter Akaro
Ni hivi karibuni zimetolewa tuzo za 67 za Grammy huko Marekani na kumshuhudia msanii wa Nigeria, Tems akishinda kipengele cha wasanii wa Afrika akiwa ni wa pili ku...
Marehemu Tupac Shakur ni moja kati ya wasanii maarufu wa hip-hop duniani waliofanya makubwa katika tasnia ya muziki. Lakini licha ya umaarufu wake na mafanikio kedekede msanii...
Mkali wa Afrobeat Wizkid ni miongoni mwa wasanii walioingai kwenye historia ya marehemu mwanamuziki wa reggae Bob Marley baada ya albam ya msanii huyo aliyefariki mwaka 1981 k...
Mwanamuziki wa Nigeria Tems ameibuka mshindi wa Grammy 2025 katika kipengele cha Best African Music Perfomance.Ushindi huo ambao ameupata usiku wa kuamkia leo Februari 3, 2025...
Staa wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria Davido ameonesha imani yake ya kushinda tuzo ya Grammy usiku wa leo"Kama sitoshinda Grammy mwaka huu ninafikiria kuacha muziki, nimew...
Leo Februari 2, 2025 zinatarajiwa kugawiwa tuzo za Grammy ambazo zitakuwa za 67 kufanyika tangu kuanzishwa kwake Mei 4, 1959.1. Tuzo za Grammy ambazo zinaangazia wasanii walio...
Mwanamuziki na produza kutoka Marekani, Bruno Mars ameweka historia kuwa msanii wa kwanza kufikisha wasikilizaji milioni 150 kila mwezi kupitia mtandao wa kuuza na kusikiliza ...
Kampuni inayoongoza kwa usambazaji wa biashara ya muziki duniani 'Universal Music Group' imetangaza kuahirisha baadhi ya matukio yaliyopangwa kufanyika usiku wa tuzo za Grammy...
Mwanamuziki kutoka Kenya, Bien Baraza anayetamba na wimbo wa ‘Extra Pressure’ aliyoshirikishwa na Bensoul amekoshwa na singeli ya ‘Wivu’ inayotamba kat...
Katika usiku wa ugawaji wa Tuzo za Grammy mwaka 1984 marehemu mkali wa Pop Marekani, Michael Jackson aliwashangaza wengi baada ya kuvua miwani yake mbele ya umati wa watu.Kama...
Mwanamuziki wa Marekani Snoop Dogg ametuma salamu kwa watoaji wa tuzo za Grammy, hii ni baada ya kushare picha za ma-rapa sita nchini humo ambao wamefanya vizuri lakini hawaja...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Harmonize amerusha dongo kwa msanii mwenzake Diamond baada ya kushindwa kuchaguliwa kuwania tuzo za muziki Marekani Grammy kwa kudai kuwa huw...