Onana matatani kupoteza nafasi kikosi cha kwanza

Onana matatani kupoteza nafasi kikosi cha kwanza

Mlinda mlango wa ‘klabu’ ya Manchester United, Andre Onana anachungulia tundu la sindano kwa kuhofia kupoteza nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza ‘klabuni’ hapo.

‘Kocha’ Eric Ten Hag amemuonya mchezaji huyo kwa kumtaka awemakini na endapo ataendelea kufanya makosa yanayoigharimu ‘timu’ kushuka kila siku basi nafasi yake itachukuliwa na ‘kipa’ mwenziye Mturuki, Altay Bayindir.

Aidha amemtolea makavu kuwa iwapo atajiunga na ‘timu’ ya Taifa ya Cameroon kwa ajili ya michuano ya kombe la mataifa Afrika (AFCON 2024) inayotarajiwa kuanza Januari 2024 basi anaweza kupoteza nafasi yake katika kikosi cha kwanza.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags