11
Mabaki ya Titan ndogo yapatikana
Mabaki ya ‘meli’ ndogo ya Titan Ocean Gate iliyokuwa inafanya safari zake kwenda kutazama ‘meli’ maarufu iliyozama ya Titanic, yameonekana kutoka chini...
11
‘Kocha’ wa NBA afariki
Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa ...
11
Ex wa YG adaiwa kusababisha kifo cha bibi wa miaka 89
Mama watoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani YG, Catelyn Sparks, anadiwa kusababisha kifo cha bibi  wa miaka  89. Inadaiwa kuwa Sparks aliigonga gari ya ...
11
Mwanariadha wa zamani apigania maisha yake ICU
Mwanariadha mkongwe wa Olimpiki kutokea nchini Marekani Mary Lou Retton inadaiwa kuwa kwa sasa anapigania maisha yake ICU akishambuliwa kwa ukonjwa wa mapafu (Pneumonia). Inae...
11
Naye Saka kukosa mechi mbili za Kitaifa
Mchezaji wa #Arsenal, Bukayo Saka inadaiwa kuwa amejiondoa kwenye kikosi cha ‘timu’ ya taifa ya nchini England kinachojiandaa na ‘mechi’ dhidi ya Austr...
11
Mayweather kutuma ndege yake israel
Bondia mstaafu ambaye pia ni ‘promota’ wa mchezo wa ngumi kutoka nchini Marekani ameonesha kuguswa na vita inayoendelea kati ya Israel na Palestina hivyo basi amep...
11
Drake atengeneza cheni ya heshima kwa mji wake
‘Rapa’ Drake ameendelea kuonesha thamani kubwa katika mji aliozaliwa baada ya kutengeneza ‘cheni’ ya heshima kwa mji wake na ‘timu’ za mich...
10
Sancho ndiyo basi tena Man United
‘Kocha’ wa Manchester United Erik ten Hag ameweka wazi kuwa hakuna njia ya kurudi kwa #JadonSancho katika ‘klabu’ hiyo baada ya kushinikiza mshambuliaj...
10
Utanashati ulifanya mjukuu wa Mwaikibaki akose pesa
Mwanamitindo na mfanyabiashara ambaye pia ni mjukuu wa Hayati Mwaikibaki, Sean Andrew, amefunguka na kuweka wazi kuwa aliwahi kukataliwa kufanya tangazo kisa utanashati (uzuri...
10
Hazard anyanyua mikono juu, Astaafu soka
Nyota wa ‘soka’ #EdenHazard, ameamua kustaafu ‘soka’ akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuachana na ‘klabu’ ya Real Madrid. Hazard alijiung...
10
Mwakinyo afungiwa kushiriki ngumi
Bondia maarufu nchini Hassani Mwakinyo amefungiwa kupanda ulingoni kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya tsh 1 milioni kufuatia utovu wa nidhamu wa kugomea kupanda ulingoni. Mwa...
10
Aogopwa kisa kufanana na Naira, Mama yake afariki kwa presha
Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria amedai kuwa amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufanana na mwanamuziki Naira Marley ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa tuhu...
10
Lavalava: Kwangu imekuwa ngumu kujumuika na wasanii wengine
Mwanamuziki wa BongoFleva #Lavalava awajibu watu wanaosema kuwa anajitenga na yupo kimya tofauti na wasanii wengine. Akizungumza na moja ya chombo cha habari nchini msanii huy...
10
50 Cent mdhamini timu ya wasichana
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent amewashitua wengi baada ya kufanya maamuzi ya kuwa mdhamini wa ‘timu’ ya wasichana wenye umri chini ya miaka 14 y...

Latest Post