Mayele aingia tatu bora ya mchezaji wa mwaka

Mayele aingia tatu bora ya mchezaji wa mwaka

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, #FistonMayele anayeichezea Pyramids FC ya Misri kwa sasa, ameingia kwenye tatu bora ya mchezaji wa mwaka Afrika.

Mayele ameingia katika kipengele hicho baada ya kuwa na msimu mzuri na ‘klabu’ ya #YangaSC na kuifikisha fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) sambamba na kuibuka Mfungaji bora wa michuano hiyo.

Mayele anachuana winga wa #AlAhly, Percy Tau na mshambuliaji wa #MamelodiSundowns Peter Shalulile
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags