Quavo azindua kitabu cha mapishi

Quavo azindua kitabu cha mapishi

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #Quavo ametambulisha kitabu chake cha Mapishi kinachoitwa ‘Huncho Farms’ kilichowasilishwa na taasisi yake mpya ya #QuavoCares, Urban Recipe na Atlanta Community Food Bank.

Kitabu hicho kinaangazia mapishi ya familia wakati wa likizo na vidokezo vya kupika. Toleo la kitabu hicho pia linauhusiano mkubwa na kampeni ya utoaji zawadi ya kila mwaka ya Quavo.

Zoezi la uzinduzi wa kitabu hicho cha mapishi, liliambatana na kampeni ya upanuzi wa Huncho Farms, soko la wazi la wakulima lililoanzishwa na Quavo mwenyewe.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags