Mlinda mlango wa Barcelona kufanyiwa upasuaji

Mlinda mlango wa Barcelona kufanyiwa upasuaji

‘Goli kipa’ wa ‘klabu’ ya #Barcelona, #MarcStegen anadaiwa kutoonekana kikosini kwa takribani miezi miwili, kwani anatarajia kufanyiwa upasuaji wa jeraha dogo la mgongo hivi karibuni.

Nafasi yake itachukuliwa na mlinda mlango #Inak kwa kipindi chote ambacho Marc atakuwa nje ya kikosi na inadaiwa kuwa ‘klabu’ hiyo haina mpango wa kusajili goli kipa mwingine sababu wanaamini mlinda mlango aliyebakia atatosha kuisaidia ‘timu’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags