18
Jada na Smith walitengeneza chumba cha siri
Licha ya Will Smith na Jada kutengana kwa miaka 7 sasa lakini waliutumia vizuri muda wao wakati watoto wao walipokuwa wadogo. Jada kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni amew...
18
Rosa ree afunguka kumlea mtoto wake mwenyewe
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini #RosaRee amedai kuwa kuna muda anakuwa kama baba kwa mtoto wake, akimlea mwenyewe na kumsimamia japo ni ngumu kuwa baba. Akizungumza na moja ya c...
18
Antonio Brown aachiwa kwa dhamana
Baada ya mchezaji wa zamani wa NFL, Antonio Brown, kukamatwa na kuwekwa jela toka Jumapili ya wiki iliyopita kwa kosa la kutolipa pesa ya matumizi kwa watoto wake, hatimaye am...
18
Dame akubali kumaliza tofauti na Jay Z
Dame Dash ambaye alikuwa akishirikiana na Jay Z kuimiliki ‘lebo’ ya ‘Rock A Fella’,  ameweka wazi kuwa yuko tayari kufanya mazungumzo na Jay Z ili...
18
Benzema ahusishwa na ugaidi kisa vita ya palestina na israel
Waziri wa Mambo ya ndani wa nchini Ufaransa, Gerald Darmanin, anamshutumu mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad ya Uarabuni, Karim Benzema kwa kuwa na uhusiano na kund...
17
Vera Sidika amlalamikia Brown kuonesha sura ya mtoto wao bila taarifa
Mrembo na Mfanyabiashara kutoka nchini Kenya #VeraSidika ametoa malalamiko kwa baba watoto wake #BrownMauzo kuonesha sura ya mtoto...
17
Hatimaye Drake aifikia record ya Michael Jackson
Hatimaye Rapa kutoka nchini Marekani Drake ameifikia rekodi ya Michael Jackson kwenye charts kubwa za muziki duniani #BillboardHot100, ni baada mwanamuziki huyo kufikisha ngom...
17
Mwanamitindo Tabby Brown afariki dunia
Mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Uingereza, #Tabby Brown amefariki dunia leo, ambapo meneja wake wa zamani amethibitisha kifo cha mwanadada.Tabby amefariki akiwa na umri w...
17
Abigail Chams afichua kitu anachoogapa kwenye maisha yake
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Abigail Chams, wakati akizungumza na Mwananchi Scoop kwa njia ya simu ameeleza kuwa katika viti anavyo viogopa kwenye maisha yake na hawezi kuvifany...
17
Kendrick adakwa na polisi kwa mkosa matatu
Mwanasoka wa #Rams kutoka nchini #Marekani, #DerionKendrick,anadaiwa kukamatwa na polisi Los Angeles kwa ukiukaji wa sharia za barabarani, huku ndani ya gari lake akiwa amebeb...
17
Davido atumia zaidi ya tsh 200 milioni kununua mikoba ya mkewe
Msanii kutoka nchini Nigeria, Davido amewashangaza wengi baada ya kutumia kiasi kikubwa cha pesa kununulia pochi kwa ajili ya mkewe.Davido anadaiwa kutumia zaidi ya tsh 250 mi...
17
Ndoa ya kaka yake Jada Smith matatani
Jada Smith siyo pekee katika familia yake aliye na wakati mgumu kwenye ndoa yake, inaelezwa kuwa hadi kaka yake Caleeb Pinkett, ambaye ni muigizaji alitengana na mkewe Patrici...
17
Mchungaji awatimua waumini wenye digrii Kanisani
Mchungaji wa Kanisa la Neno nchini Kenya, James Ng’ang’a amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kutoa onyo kwa waumini wake waliohitimu shahada ya kwanza kuwa w...
17
Adanganya kupata mshituko wa moyo, Akikwepa kulipa bili
Mwanamume mmoja kutoka nchini Spain ambaye hajatambulika jina lake ameshikiliwa na polisi baada ya kudaiwa kudanganya kupatwa na mshituko wa moyo katika migahawa 20 ili kukwep...

Latest Post