Beki wa Chelsea bado sana uwanjani

Beki wa Chelsea bado sana uwanjani

Beki wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #ReeceJames ameendelea kupitia wakati mgumu kwani anatarajia kukaa nje ya uwanja hadi Februari mwakani baada ya kuumia tena.

Beki huyo alianza kucheza katika kikosi cha kwanza dhidi ya ‘klabu’ ya #Everton ‘weekend’ iliyopita ikiwa ni mara ya kwanza kuanzishwa tangu Novemba 25 mwaka huu, lakini alicheza dakika 26 tu.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa England anaweza kuchelewa kurudi hadi Machi kutokana na matatizo ya msuli yanayomsumbua.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags