Roboti yenye nguvu zaidi duniani

Roboti yenye nguvu zaidi duniani

Kampuni ya utegenezaji roboti nchini China, imeunda roboti ya H1 (humanoid), inayosifiwa kuwa ndiyo roboti inayoongoza kuwa nguvu zaidi duniani kati ya roboti zote zenye sura na tabia zinazofanana na binadamu .

Roboti hii, iliyoundwa na kampuni ya Unitree ina injini zenye nguvu na uwezo wa kufanya vitu kwa haraka ina urefu wa mita 1.80 na uzani wa takribani kilo 47, inaweza kutembea kwa kasi hadi 5.5 km / h pia ina kamera ya 3D LiDAR yenye uwezo wa kutambua ramani katika mazingira iliyopo pia zinaisaidia kuimarisha ufanisi wake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags