22
Shabiki atolewa uwanjani kwa kumbagua Vinicius
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa ‘klabu’ ya #Sevilla kwa kuchukua hatua za haraka za kumtoa uwanjani na ‘ku...
21
Zuchu apoteza ‘begi’ lenye vitu vya show
Mwanamuziki wa bongo Fleva #Zuchu amedai kuwa amepoteza ‘begi’ ambalo aliweka vitu vyake vyote kwa ajili ya show leo usiku nchini #Rwanda.Kupitia #InstaStory yake ...
21
Mashabiki wakosoa sanamu la The Rock
Ikiwa ni kawaida kutoka katika jumba la makumbusho la Grevin Paris nchini Ufaransa kuweka sanamu za watu maarufu mbali mbali, kwa mwaka huu imekua tofauti baada ya mashabiki k...
21
P Diddy atimiza ahadi ya kuchangia dola milion 1
Baada ya ‘rapa’ #PDiddy kutangaza katika Tuzo za #BET za 2022 kuwa atatoa dola milioni 1katika Chuo Kikuu cha #Howard, hatimaye ametimiza ahadi hiyo ambapo alikabi...
21
Maluma na mpenzi wake watarajia kupata mtoto
Mwimbaji na ‘rapa’ kutoka nchini Colombia, Maluma anatarajia kupata mtoto wa kwanza na mpenzi wake Susana Gomez.Maluma ameweka wazi kutarajia kupata mtoto wa kike ...
21
Ahmed: Kauli mbiu ya kwanza ya ‘klabu’ kutamkwa na rais wa FIFA
Msemaji wa ‘klabu’ ya #Simba #AhmedAlly ameanza tambo zake baada ya ku-posti video ya Rais wa #FIFA, Infantino kutamka...
21
Mtoto wa CR7 kukipiga Al Nassr
Mtoto wa mchezaji kutoka ‘klabu’ ya Al Nassr ya Saudi Arabia, CR7, Cristiano Jr amejiunga na ‘timu’ ya vijana chini ya umri wa miaka 15, katika ‘...
21
Kanye West hana mpango wa kugombea urais 2024
‘Rapa’ na mwanamitindo kutoka nchini Marekani #KanyeWest hato gombea tena urais nchini humo mwaka 2024.Kwa mujibu wa mweka hazina wa ‘kampeni’ ameeleza...
20
Marta amkumbuka Ex wake
Mpenzi wa zamani wa mchezaji wa #ManchesterUnited, #SergioReguilon, Marta Diaz amedai kuwa hato msahau ex wake huyo kwa kuwa alikuwa ni nguzo muhimu katika maisha yake. Kwa mu...
20
Modeste kuikosa ‘mechi’ ya Simba,
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Ahly, Anthony Modeste hatokuwa sehemu ya kikosi cha Al Ahly kitakacho ikabili Simba SC katika mchezo wa ufunguzi wa ‘Ligi’ ya...
20
Rais samia akutana na Motsepe Chamwino
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya bendera ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dk Patrice Motsepe Ikulu Chamw...
20
Tyla amtamani Rema
Mwanamuziki kutoka nchini South Africa, Tayla ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘water’ ameweka wazi kuvutiwa kimapenzi na msanii wa Afrobeats Rema. Kufuatia mahoji...
20
Penzi la Lupita na Selema lafika ukingoni
Muigizaji kutoka nchini Kenya Lupita Nyong’o ameweka wazi kuwa ameachana na mpenzi wake Selema huku sababu ikiwa ni udanganyifu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Lupita...
20
Mashabiki wamchangia Ally Kamwe million 1
Ni masaa machache tangu ‘bodi’ ya ‘Ligi’ Tanzania kumpiga ‘faini’ ya million 1,  Afisa wa habari wa ‘klabu’ ya Yanga, Ally...

Latest Post