Tiketi bure, Vaa jezi yenye nembo ya GSM

Tiketi bure, Vaa jezi yenye nembo ya GSM

Meneja Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #Yanga, #AliKamwe amesema Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ amenunua tiketi zote za mzunguko kwenye mechi ya marudiano dhidi ya ‘klabu’ ya #Medeama itakayochezwa siku ya Jumatano uwanja wa Mkapa.

Kamwe amesema siku hiyo itakuwa ni ‘GSM Day’ hivyo Mashabiki siku hiyo ili kumpa heshima hiyo GSM wavae jezi ya #Yanga yenye nembo ya ‘GSM’.

‘Mechi’ ya kwanza baina ya timu hizo ilimalizika kwa sare ya 1-1 nchini #Ghana hivyo Wananchi wanahitaji ushindi tu ili kufufua matumaini ya kufuzu robo fainali.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags