Unavyotumia muda mwingi na mama yako ndivyo anaishi zaidi

Unavyotumia muda mwingi na mama yako ndivyo anaishi zaidi

Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha California, San Francisco unaonesha kwamba kutumia muda zaidi na wanafamilia wazee, hasa mama yako, kunaweza kumuongezea maisha marefu zaidi.

Utafiti huo uliofuata watu wazima 1,600, ulibainisha upweke kama sababu kubwa inayochangia vifo vya wazee huku baadhi ya watu walio karibu na wazee wanaonesha kiwango cha chini cha vifo kwa asilimia 14%, ikilinganishwa na 23% kwa wale wanaokumbwa na upweke.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags