‘Rapa’ kutoka #AfrikaKusini, #NastyC amedai kuwa hakuna ‘rapa’ kutoka Afrika anaye mfikia kuandika na kutunga mashairi.
Akiwa katika mahojiano na LTido...
Muigizaji mkongwe wa #BongoMovie Wastara Juma amewataka watu watumie vizuri nafasi na fursa wanazo zipata, huku akidai kuwa kwenye maisha ni ngumu sana kupata nafasi ya pili.
...
Baada ya kuhudhuria katika Tuzo za Trace nchini Rwanda Mwimbaji wa Afrobeat kutoka Nigeria Rema alikutana na raisi wa nchi hiyo Paul Kagame na kuweka wazi kuwa ndio raisi wa k...
Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #JohnStamos anadai kuwa aliwahi kumfumania mpenzi wake Teri Copley na muigizaji mwenzie Tony Danza.
John anadai kuwa mwaka 1980 aliwakuta wa...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Zuchu amejitolea kuunga mkono zoezi la kusaidia watoto #Gaza wanaokumbana na changamoto ya vita inayoendelea kati ya #Palestina na #Israel.
Kupitia...
Mfanyabiashara na tajiri mkubwa duniani Elon Musk amewashauri wamiliki wa mtandao wa Wikipedia kubadilisha jina lao huku akidai atawapatia ofa ya zaidi ya dola bilioni moja.
E...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya #England na ‘klabu’ ya #Ettifaq kutoka Saudi Arabia, #JesseLingard ameendelea kukoshwa na wimbo wa mwanamuziki #Diamond ...
Baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu, hatimaye ‘rapa’ kutoka nchini Marekani #Blueface amemvisha pete mzazi mwezie Jaidyn Alexis.
Wawili hao w...
Msanii kutoka nchini Uingereza, Adam Thomas amevunja ukimya baada ya kupigwa marufuku kufanya mazoezi ya wimbo wake baada ya kuhofiwa kuwa na ugonjwa wa mafua kabla ya kuingia...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Rihanna anadaiwa kuwa yupo kwenye mipango ya kurejea kwenye muziki kwa kishindo ambapo anatarajia kufanya ziara kubwa ya muziki mwishoni m...
Inadaiwa kuwa ‘kampuni’ya inayo husika na maswala ya ngumi, UFC ikotayari kupata ‘saini’ ya mwanamichezo wa boxer kutoka nchini Uingereza, Michael Page...