Siku kama ya leo ilikuwa shangwe kwa Trump na Adolf Hitler

Siku kama ya leo ilikuwa shangwe kwa Trump na Adolf Hitler

Kwenye historia tarehe kama ya leo Disemba 20, 1993 aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump alifunga ndoa na Marla Maples. Hata hivyo mwaka 2005 ndoa yao ilivunjika wakiwa wamepata mtoto mmoja

Mbali na Trump pia tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 1924 Adolf Hitler aliachiwa huru baada ya kukaa gerezani kwa miezi tisa, licha ya kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano kwa kuongoza jaribio la mapinduzi lililoshindikana.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags