Teni alipwa zaidi ya 170 milioni kutumbuiza kwenye harusi

Teni alipwa zaidi ya 170 milioni kutumbuiza kwenye harusi

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Teni adaiwa kulipwa zaidi ya milioni 170 kutumbuiza katika harusi ya mtoto wa bilionea Beninoise, Haija Rissi Razaq Igue.

Kwa mujibu wa Legit news kutoka nchini humo imeeleza kuwa tukio hilo limeibua hisia zaidi mitandaoni baada ya Teni kuripotiwa kulipwa kitita cha Naira 88 milioni, sawa na tsh 175,350,000 milioni, na kuwa kiasi kikubwa cha pesa kwa msanii wa kike Nigeria kulipwa katika sherehe binafsi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags