Phoebe Gates ambaye ni binti wa tajiri maarufu duniani Bill Gates, ameachana na mpenzi wake anayefahamika kama Robert Ross.
Mrembo huyo amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake...
Mwamuzi kutoka #DRCongo, Jean Jacques Ndala ameteuliwa kuchezesha mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya African Football League kati ya Al Ahly dhidi ya Simba SC utakaop...
Rapper kutoka nchini #Marekani, na baby mama wa Rihanna #ASAPRocky ametajwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu (Creative Director) wa ‘kampuni’ ya kutengeneza mavazi ya PU...
‘Rapa’ #BlueFace ameamriwa kulipa fidia ya dola milioni 13 ambapo ni sawa na zaidi ya Bilioni 32 za Kitanzania baada ya kuhusika katika upigaji risasi kwenye club ...
Wachezaji kutoka ‘klabu’ ya #Yanga wamempa maua yake fundi wa mpira #Feitoto kutokana na kiwango alichokionesha jana katika mchezo wa ‘ligi’ kuu licha ...
Mwanamuziki wa Hi-hop kutoka nchini Marekani, #LilWayne inadaiwa kukataa muonekano wa sanamu lake ambalo lipo katika makumbusho ya #Wax mjini #Hollywood nchini humo.
Kwa mujib...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #TyDollaSign na #KanyeWest watangaza kufanya onesho la usikilizaji wa album yao mpya unao tarajia kufanyika Novemba 3 mwaka huu 2023...
‘Fowadi’ kutoka ‘klabu’ ya #AlNassr #CristianoRonaldo amzawadia bondia kutoka #Cameroon Francis Ngannou saa yenye thamani zaidi ya million 200 za Kitan...
Baada ya Jay Z kuwashauri watu kuchagua pesa kuliko kuonana na yeye, kwa upande wa ‘rapa’ kutoka Marekani Rick Ross imekuwa tofauti kwake ameeleza ni bora kupata c...
Baada ya kuuliza swali kwa mashabiki kuwa kupata chakula cha usiku na Jay Z au akupe dola 500 ambayo ni sawa na zaidi ya billion 1 za kitanzania, utachaguwa nini, Jay amemaliz...
Binti aliyefahamika kwa jina la Miya Mwenye umri wa miaka 15 ameonesha mapenzi yake ya dhati kwa ‘rapa’ kutoka nchini marekani, Drake kwa kuweka bango kwa ajili ya...
Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football league (AFL) kuelekea mchezo wa kesho kati ya Al Ahly dhidi ya Simba lile bao la ugenini lipo.
Kanuni ya 15 kifungu kido...