Aliyepewa pesa na Davido ageuka kituko

Aliyepewa pesa na Davido ageuka kituko

Mwanadada kutoka nchini #Nigeria, aliyepewa pesa na mkali wa #Afrobeat #Davido ageuka kituko mitandaoni baada ya kukataa kupeleka pesa hizo benki na kutembea nazo kila sehemu.

#Davido alitoa pesa hizo akiwa kwenye moja ya show yake baada ya kumuona mwanadada huyo akiwa na vibe alipokuwa aki-perfom na kuamua kumpa dola 5k ambayo ni zaidi ya tsh 10 milioni

Kupitia video zinazo-trend mitandaoni zimemuonesha mwanadada huyo akiwa amehifadhi pesa hizo kwenye mfuko.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags