Kinachofanyika kabla, baada ya upasuaji wa maumbile

Kinachofanyika kabla, baada ya upasuaji wa maumbile

Miongoni mwa habari zilizotikisa mwaka huu ni kupatikana kwa huduma ya kuongeza matiti, makalio, kupunguza tumbo au nyama kwenye mikono na sehemu nyingine za mwili hapa nchini.

Hospitali ya Mloganzila ilitangaza inaanza kutoa huduma hizo za upasuaji, ikiwamo kupunguza uzito na kuongeza makalio.

Akizungumza na Mwananchi, Daktari bingwa mbobezi wa upasuaji wa kurekebisha maumbile, Hospitali ya Muhimbili, Nadir Meghji anasema kabla ya kumfanyia mtu upasuaji, wanafanya vipimo vya awali kwa mhusika na kumpa ushauri ili kupata matokeo mzuri.

Anasema si kila mtu anaweza kufanyiwa upasuaji wa kubadilisha maumbile kwa sababu wanakwenda wakiwa wazima, hivyo hawawezi kumfanyia kama dharura kwa sababu tu amejipanga kuboresha maumbile yake.

Soma kwa undani kwenye tovuti ya Mwananchi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post