15
King Kikii wa Kitambaa cheupe afariki dunia
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 15, 2024 akiwa anapatiwa matibabu kati...
05
Director Khalfani kuzikwa leo saa 10 jioni
Maziko ya muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania na filamu maarufu Director Khalfani Khalmandro yatafanyika leo saa 10 alasiri katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es S...
05
Director khalfani afariki dunia
Aliyekuwa muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, Director Khalfan Khalmandro amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipoku...
22
Kinachofanyika kabla, baada ya upasuaji wa maumbile
Miongoni mwa habari zilizotikisa mwaka huu ni kupatikana kwa huduma ya kuongeza matiti, makalio, kupunguza tumbo au nyama kwenye mikono na sehemu nyingine za mwili hapa nchini...
11
Muhimbili kuhifadhi mayai, wasiotaka kuzaa haraka
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuanzia Januari mwaka 2024 watafungua jengo linalohusika na huduma za upandikizaji mi...
12
Nabeel afariki, Chino ahamishiwa Muhimbili
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa dereva kwenye gari lililombeba mwanamuziki na Dancer #ChinoKid pamoja na wenzake, amefariki dunia kufuatia ajali ya ...
07
Muhimbili kupandikiza nyonga na magoti bandia
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na Hospitali ya Queen Elizabeth ya nchini Uingereza itafanya kambi Maalumu ya upasuaji wa kuweka nyonga na magoti band...
09
Professor Jay amshukuru Kikwete kwa msaada
Msanii mkongwe nchini Professor Jay amtembelea Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwake kwa dhumuni la kumshukuru kwa kumsaidia katika kipindi chake cha matibabu...
29
Hamisa Mobetto aomba ushirikiano kusaidia watoto
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
26
Homa ya ini tishio kwa wanaume
Taasisi ya Afya nchini Marekani (NIH) imekadiria hadi kufikia mwaka 2025, zaidi ya watu milioni moja wakiwemo wanaume kuambukizwa Saratani ya Ini kila mwaka na hivyo wanahimiz...
19
Wanafunzi kutoka Sudan wawa gumzo mitandaoni
Hahahah! Kama kawaida bongo hatunaga jambo dogo, baada ya kutangazwa taarifa masaa machache yaliyopita kuhusiana na wanafunzi kutoka nchini Sudani kuhamishiwa Tanzania. Gumzo ...

Latest Post