Romy Jons afichua mambo  yanayowatesa vijana

Romy Jons afichua mambo yanayowatesa vijana

Muigizaji na Dj Romy Jons ameeleza kuwa watu wengi hasa vijana wanasumbuliwa na mawazo yaliyopitiliza hofu, na wasiwasi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Romy amewataka watu kurudi kwa Mungu wao kwa ajili ya kufanya ibada kutokana na kuongezeka kwa hofu na wasiwasi hasa kwa vijana.

Ni kweli vijana wengi wana hofu na wasiwasi?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags