Wanaolala zaidi weekend hujiepusha na ugonjwa wa moyo

Wanaolala zaidi weekend hujiepusha na ugonjwa wa moyo

Utafiti wa hivi majuzi uliochapishwa katika jarida la Afya unaeleza kuwa kulala zaidi siku za weekend kunaweza kuboresha afya ya moyo na mishipa, hasa kwa wale wanaolala chini ya saa sita siku za wiki.

Utafiti huu, uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Tiba cha Nanjing nchini China, umeonesha kuwa watu wazima 3,400 wa Marekani ambao hupata muda mzuri wa kulala wapo kwenye viwango vya chini kupata ugonjwa wa moyo na mishipa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post