Chama, Kapama wasimamishwa

Chama, Kapama wasimamishwa

Uongozi wa ‘klabu’ ya Simba umewasimamisha kazi wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chota Chama kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Simba umetoa taarifa hiyo huku ikiwataka watumishi wa ‘klabu’ hiyo kuzingatia misingi ya maadili na nidhamu kalbuni hapo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags