Mashabiki wakosoa wimbo wa Wizkid

Mashabiki wakosoa wimbo wa Wizkid

Mashabiki wa muziki kupitia mtandao wa X wameikosoa ngoma mpya ya mwanamuziki Wizkid iitwayo ‘Energy’ huku wakidai huenda msanii huyo alikuwa akirekodi wakati amelala.

Hata hivyo baadhi ya mashabiki wametilia mkazo kwenye jina la wimbo huo kuwa haliendani na alichokiimba kwani ngoma hiyo haina ‘Energy’ waliyotegemea.

‘Energy’ ni kati ya nyimbo za Wizkid ambazo zipo kwenye Ep yake ya ‘S2’, aliyoachia saa 10 ziliyopita ikiwa na nyimbo nne ambazo ni ‘Ololufe’, ‘Diamond’, ‘Energy’, na ‘IDK’ aliyomshirikisha Zlatan.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags