Hivi ndivyo Tiwa Savage alivyochagua kumaliza mwaka

Hivi ndivyo Tiwa Savage alivyochagua kumaliza mwaka

Kama ilivyo desturi kwa baadhi ya wasanii kujipongeza kwa kujinunulia zawadi mbalimbali mwisho wa mwaka mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage amechagua kuumaliza mwaka 2023 kwa kujinunulia zawadi za thamani.

Ukiachana na ile ‘Range Rover’ na jumba la kifahari alilonunua jijini London sasa ameamua kujizawadia tena saa ya mkononi aina ya ‘Serpenti Tubogas watch’ yenye thamani €49,900 ambayo ni zaidi ya tsh 130 milioni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags