30
Burna Boy afanya show ya kibabe, Ajaza uwanja
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy anazidi kuweka historia katika mataifa mbalimbali ambapo usiku wa kuamkia leo amefanya show iliyo hudhuriwa na watu 80,000 katika U...
01
Snoop Dogg na muendelezo wa vipindi vya watoto
‘Rapa’ Snoop Dogg ameripotiwa kuja na muendelezo wa kipindi cha watoto kilichopewa jina la ‘Doggland’ ambacho kitasaidia watoto kujifunza vitu mbalimba...
22
Hivi ndivyo Tiwa Savage alivyochagua kumaliza mwaka
Kama ilivyo desturi kwa baadhi ya wasanii kujipongeza kwa kujinunulia zawadi mbalimbali mwisho wa mwaka mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage amechagua kuumaliza mwaka...
16
Burna Boy amzawadia ex wake gari
Mkali wa afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy amnunulia gari aina ya Rolls Royce Cullinan aliyekuwa mpenzi wake ‘rapa’ Steff London.Burna alimzawadia gari Ex w...
11
Wizkid kutoa misaada kwa watoto christmas
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameahidi kutoa misaada kwa watoto, Naira 100 milioni ambazo ni zaidi ya tsh 300 milioni kwa ajili ya sikukuu ya Christmas.Wizkid ameel...
22
Zamu ya Burna Boy kusimama kwenye uwanja uliojazwa na mastaa wa Marekani
Baada ya kufanya show katika majukwaa makubwa duniani, sasa mwanamuziki #BurnaBoy anatarajia kufanya show katika uwanja wa #London...
10
Morgan afichua sababu ya kuvaa hereni kila wakati
Muigizaji na #Producer maarufu kutoka nchini #Marekani, #MorganFreeman ameweka wazi sababu ya kila wakati kuonekana akiwa avaa hereni, saa na pete za ...
28
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aangukia kwenye utangazaji
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameibuka kwenye uandishi wa habari na atafanya kazi katika kituo cha televisheni cha GB News kilichopo jijini London.Kwa mujib...
27
Chris Brown afunguliwa mashitaka
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la #AbeDiaw amemshitaki mwanamuziki #ChrisBrown kwa madai ya kumpiga na chupa kichwani mwezi #Februari, katika club ya #Tape nchini #Uing...
11
21 Savage kufanya tamsha nchi aliyozaliwa
‘Rapa’ 21 Savage ametangaza kufanya tamasha lake la kwanza katika nchi aliyozaliwa ambapo onesho hilo linatarajiwa kufanyika katika uwanja maarufu wa O2 nchini Lon...
23
Wizkid na mkurugenzi wa ubunifu Gucci
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameonekana tena kwenye tamasha la Gucci Fashion Show lililofanyika London, huku akiwa ametupia mavazi ya ‘kampuni’ hiyo na...
20
Rema na Selena Gomez wajipata Spotify
Baada ya wimbo wa Calm down remix kutoka kwa Rema na Selena Gomez kufanya maajabu ya kuwa na wasikilizaji na watazamani wengi, huku ukibeba tuzo ya MTV hatimaye mtandao wa Spo...
17
Nancy Sumari ahitimu masomo London
Aliyewahi kuwa miss Tanzania 2005 #NancySumari, ameweka wazi kumaliza masomo yake nchini London. Nancy amehitimu masters ya Education Economics and International Development, ...
20
Usingizi wa mchana ni mzuri kwa ubongo wako
Watafiti kutoka chuo Kikuu cha London wanaeleza kuwa kupata muda wa kulala kidogo mara kwa mara ni vizuri kwa ubongo wetu na husaidia kuuweka ubongo kuwa mkubwa kwa muda mrefu...

Latest Post