Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Adele ameweka wazi kuwa kwasasa ameacha kunywa pombe, baada ya kupata madhara ya kuwa mlevi kupindukia.
Kwa mujibu wa CNN News inaeleza ku...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #RickRoss amejitolea kutaka kumsaidia Kanye West kuisambaza albumu yake mpya kwa kutumia label yake ‘Maybach Music Group’...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Ittihad, Karim Benzema amekanusha vikali taarifa zinazosambaa kwamba yeye ni miongoni mwa watu wanaounga mkono magaidi, ikiwa ni ba...
Muigizaji kutokea nchini Marekani, #ToriSpelling ameripotiwa kuhama nyumbani kwake Los Angeles baada ya kuvamiwa na jirani yake akiwa na bunduki aina ya AR-15.
Tori ambaye ali...
Mwanamziki na muigizaji kutoka nchini Marekani T.I ambaye amekuwa kwenye mziki wa hip-hop kwa zaidi ya miaka 25, amefunguka kustaafu kuimba na kuangalia miradi yake mingine.
K...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Nigeria, John Ikechukwu, maarufu kama Mr Ibu ameweka wazi kuwa anapambana na ugonjwa unaotishia maisha yake huku akiwaomba watu kumsaidia pesa ...
Ikiwa imepita miaka 18 tangu kifo cha mwanafunzi Natalee Ann Holloway kutokea, hatimaye Joran van der Sloot amekiri kuhusika na mauaji hayo mbele ya mahakama nchini Marekani.
...
Baada ya kuzuka sintofahamu kuhusu baba halisi wa mtoto wa marehemu Mohbad, wengine wakidai kuwa ni mtoto wa promota Sam Larry, baba mzazi wa Mohbad ametaka mtoto huyo kupimwa...
Mashabiki wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Billie Eilish wameikosoa tattoo mpya ya msanii huyo aliyo ichora mgongoni.
Tattoo hiyo imezua taharuki kwa mashabiki wake baad...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #LiverPool #MoSalah ametoa wito kwa viongozi wote duniani akiwataka kukutana pamoja kutoa msaada wa haraka wakati wa mzozo kati ya Israel na...
Mfanyabiashara kutokea Uingereza Sir Jim Ratcliffe anatarajia kununua asilimia 25 ya hisa katika ‘klabu’ ya Manchester United.
Endapo Ratcliffe ‘atasaini&rsq...
Rapa kutoka nchini Marekani #42Dugg amemaliza kifungo cha mwaka mmoja na nusu gerezani baada ya kushitakiwa kumiliki bunduki kinyume na sheria na kutojisalimisha kwa polisi.
V...
Mwanamuziki na mwanamitindo Kanye West amedai kuwa anadalili za ugonjwa wa akili ambazo zilisababishwa na ajali aliyoipata Oktoba, 2002.
Kanye alimtumia rafiki yake wa karibu ...