Miwani ya Meta yenye uwezo wa kuona na kusikia

Miwani ya Meta yenye uwezo wa kuona na kusikia

CEO wa Meta Mark Zuckerberg akionesha uwezo wa miwani inayotumia akili bandia (AI) katika kumsaidia kazi mbalimbali.

Miwani hii inafahamika kwa jina la Ray-Ban Meta, ambayo Mark aliiomba imsaidie kuchagua shati litakalompendeza kutokana na suruali aliyovaa na miwani hiyo ilifanya hivyo.

Pia Mark anaonesha uwezo wa miwani hiyo kwa kuiomba imsaidie kutafsiri lugha ya  Kihispania, pia miwani hiyo ilionesha uwezo wake mkubwa kwenye kutafsiri lugha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags