Tazama nyumba ya gharama kubwa zaidi duniani

Tazama nyumba ya gharama kubwa zaidi duniani

Licha ya kuwa baadhi ya watu huwekeza kwa ajili ya kujenga nyumba za ndoto zao kwa kutumia kiasi kikubwa cha pesa fahamu kuwa ipo nyumba nchini Ufaransa iitwayo Chateau ya karne ya 17 ambayo ndiyo nyumba ya gharama kubwa zaidi duniani.

Nyumba hiyo ina vyumba 40 vya kulala, sebule tano, na chumba cha kulia cha kifalme. Nyumba hiyo pia inajumuisha kiti cha mtoto wa malkia wa kwanza wa Ufaransa, chumba cha mfalme kilichopambwa kwa dhahabu, na maktaba iliyo na vitabu zaidi ya 20,000 vya kihistoria.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags