Kweli Asake anamuiga Burna Boy

Kweli Asake anamuiga Burna Boy

Shabiki mmoja kupitia mtandao wa X (twitter) amedai kuwa msanii kutoka nchini Nigeria Asake anamuiga msanii mwenzaye Burna Boy.

Hii inakuja baada ya Asake kuvunja 'gitaa' (guitar) kama alivyowahi kufanya Burna Boy kwenye moja ya show yake akiwa jukwaani anatumbuiza.

Unadhani kweli Asake anamuiga Burna Boy?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags